Kibrunei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kimalay ya Brunei)

Kibrunei (pia Kimalay ya Brunei) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Brunei na Malaysia inayozungumzwa na Wabrunei. Mwaka wa 1984 idadi ya wasemaji wa Kibrunei nchini Brunei imehesabiwa kuwa watu 215,000. Pia kuna wasemaji 51,000 nchini Malaysia (2013). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibrunei iko katika kundi la Kimalayiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibrunei kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.