Kihonda Kwa Chambo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kihonda Kwa Chambo ni jina la sehemu ya kata ya Kihonda katika manispaa ya Morogoro ambayo inakua haraka sana upande huu wa kaskazini kuelekea Dodoma.

Jina[hariri | hariri chanzo]

Jina hilo linatokana na lile la mzee maarufu aliyeishi huko, kwenye barabara ya kwenda Dodoma.

Tatizo la maji[hariri | hariri chanzo]

Tatizo la maji limekuwa ni tabu kwa wakazi wa Kihonda kwa sababu maji yanayopatikana ni maji ya chumvi. Kwa upande wa maji ya kunywa ni kazi kupatikana. Tatizo hili linahitaji kutatuliwa kwa namna yoyote nzuri.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.