Kibulu (Kamerun)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibulu ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabulu. Isichanganywe na Kibulu cha Gabon. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kibulu imehesabiwa kuwa watu 858,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibulu iko katika kundi la A70.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibulu (Kamerun) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.