Kibamali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kibamali (lugha))

Kibamali ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabamali. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kibamali imehesabiwa kuwa watu 10,800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibamali iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibamali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.