Arusha Times
Mandhari
Arusha Times ni gazeti la kila wiki linalotolewa mjini Arusha (Tanzania) kila siku ya Jumamosi. Ilianzishwa mnamo mwaka 1995 na kupatikana pia kwenye intaneti.
Kuanzia mwaka 2020 Arusha Times lilianza kuchapishwa kama The Tanzania Times sasa likiwa la kitaifa zaidi, likiandika habari za kila siku kutoka Tanzania, Afrika Mashariki na maeneo ya Maziwa Makuu [1]
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- http://www.arushatimes.co.tz/ Ilihifadhiwa 21 Novemba 2014 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu "Arusha Times" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema. |
Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Arusha Times kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
- ↑ "The Tanzania Times". The Tanzania Times (kwa American English). 2024-04-20. Iliwekwa mnamo 2024-04-26.