Mafua ya kawaida : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Translated from English by TWB (kiondo wilkins and DEBORA MITI)
(Hakuna tofauti)

Pitio la 05:39, 3 Oktoba 2012

Kigezo:Infobox ugonjwa

<-! Dalili na visababishi ->

Mafua pia yanajulikana kama nasopharyngitis, rhinopharyngitis, mafua ya kuku, au mafua. Ni ugonjwa unaombukiza kirahisi sehemu ya juu ya mfumo wa kupumua ambao huathiri zaidi pua. Dalili ni pamoja kikohozi, koo, ana mafua (rhinorrhea), na homa. Dalili kwa kawaida hupotea baada ya siku saba hadi kumi. Ingawa baadhi ya dalili zake zinaweza zikakaa hadi wiki tatu. Kuna zaidi ya virusi mia mbili zinazoweza kusababisha mafua ya kawaida. Virusi jamii ya rhinovirus ndio vinasababishi vikuu.


<- Kuzuia, utambuzi na pathofisiologia ->

Maambukizo makali ya pua , mianzi ya pua , koo au zoloto (maambukizi ya sehemu ya juu ya njia ya hewa (URI au URTI)) inabainishwa na eneo la mwili ambao umeathirika zaidi. Mafua ya kawaida yanaathiri pua, yanavimbisha kolomeo, koo, na yanavimbisha mianzi ya pua. Dalili zinatokana na mfumo wa kinga unavyopambana na maambukizi na sio kwa sababu ya uharibifu wa seli mwilini unaoletwa na virusi. Kuosha mikono ni njia ya msingi ya kuzuia maambukizi. Kuna ushahidi unaounga mkono uvaaji kitamba usoni ni bora zaidi.

<-! Matibabu, walioambukizwa wakazi, historia ->

Hakuna tiba ya mafua ya kawaida, lakini dalili zinaweza kutibiwa. Ni ugonjwa unaombukiza sana binadamu. Kwa kawaida watu wazima wanaambukizwa mara mbili au tatu kwa mwaka. Kwa kawaida watoto huwa wanapata mafua mara sita au mara kumi na mbili kwa mwaka. Ugonjwa huu umekua ukiambukiza binadamu tangu zamani.


Dalili na ishara

Dalili za kawaida dalili za mafua ni pamoja na kikohozi, mafua, kuziba kwa pua, na koo linalouma.Dalili zingenezo ni pamoja na kuumwa misuli (myalgia), kuwa mchovu, kuumwa na kichwa, na kupoteza hamu ya kula. Hitilafu ya kutaja: Closing </ref> missing for <ref> tag


Visababishi

Virusi

Coronavirus ni vikundi vya virusi vinavyojulikana kusababisha mafua ya kawaida. Kimaumbile wana nuru, au taji (kitaji) kama inavyoonekana chini ya darubini elektroniki.

Mafua ya kawaida yanaambukiza kirahisi kwa kupitia njia ya hewa. Virusi aina ya rhinovirus ndio vinavyosababisha mafua ya kawaida. Ndio vinavyosababisha asilimia 30% hadi 80% ya mafua ya kawaida. Virusi aina ya rhinovirus vina RNA ya familia ya Picornaviridae. Kuna aina 99 inayojulikana ya virusi katika familia hii ya virusi [1][2] Virusi nyingine pia husababisha mafua ya kawaida. Coronavirus husababisha asilimi 10% hadi 15% ya mafua. Mafua (homa) husababisha 5% hadi 15% ya mafua <ref. name= Eccles2005 /> Mafua mengine yanaweza kusababishwa na virusi vya binadamu vya parainfluenza, virusi vya binadamu vya njia ya hewa viitwavyo syncytial virusi aina ya adenoviruses, enterovirus, na metapneumovirus. [3] Mara nyingi, huwa kuna zaidi ya aina moja ya virusi vinavyosababisha maambukizi Hitilafu ya kutaja: Closing </ref> missing for <ref> tag Which method of transmitting the cold is most common has not been determined Hitilafu ya kutaja: Closing </ref> missing for <ref> tag Hakuna ushahidi wa kutosha kwamba mzunguko wa hewa ndani ya ndege za abiria ni njia ya maambukizi [4]. Homa inayosababishwa na virusi aina ya rhinovirus huwa maambukizi yake ni makali katika siku tatu za mwanzo wa dalili. Baada ya muda huo hawaambukizi sana [5]

Hali ya hewa

Tangu zamani mafua yanakisiwa kwamba yanaenezwa kwa mtu aliyepatwa na baridi kwa muda mrefu wakati wa mvua au wakati wa msimu wa baridi, na ndio maana yanaitwa mafua ya baridi [6] Kuna mabishano kwamba wajibu wa mwili kuwa katika hali ya baridi unaleta hatari ya kupata mafua [7] Baadhi ya virusi vinavyosababisha homa ya kawaida hujitokeza mara kwa mara wakati wa msimu wa baridi au mvua. Hitilafu ya kutaja: Closing </ref> missing for <ref> tag[8]

Pathofisiolojia

Mafua ya kawaida ni ugonjwa unaoathiri sehemu ya juu ya kupitisha hewa

Dalili za mafua ya kawaida zinaaminika kuwa zinajitokeza wakati kinga mwili ikipambana na virusi Hitilafu ya kutaja: Closing </ref> missing for <ref> tag

Kuosha mikono mara kwa mara kunapunguza maambukizi ya virusi ya mafua. Njia hii ni bora zaidi kwa watoto [9] Haijulikani kama kutumia dawa za kuzuia virusi au bakteria wakati wa kuosha mikono ni njia bora zaidi. [9] Kuvaa vitamba usoni ukiwa karibu ya watu walioathirika inaweza kuwa ni njia nzuri. Kuna ushahidi usiotosha unaokiri kwamba kuwa mbali zaidi kimwili au mbali na jamii kunapunguza maambukizi [10] Nyongeza ya zinki inaweza kusababisha upungufu wa idadi ya homa mtu anayopata [11] Utaratibu wa kujiongezea vitamini C haupunguzi hatari au makali ya mafua. Inaelekea vitamini C hupunguza muda wa mafua [12]

Usimamizi

Poster encouraging citizens to "Consult your Physician" for treatment of the common cold

Kwa sasa hakuna dawa au tiba za mitishamba ambazo zimthibitiwa kwa kufupisha muda wa maambukizi.[13] Tiba ni pamoja na kutoa tulizo ya ishara. [14] Hii ni pamoja na kupata mapumziko ya kutosha, kunywa maji ili kudumisha maji, na kugogomoa na maji ya joto ya chumvi.[3] Mengi ya faida kutoka kwa matibabu hata hivyo inahusishwa na athari ya kipozauongo.[15]

Ya dalili

Matibabu ambayo husaidia kupunguza dalili ni pamoja na kitulizo rahisi cha maumivu (analgesics) na tiba ya kupunguza homa (antipyretics) kama vile ibuprofen[16] na acetaminophen/paracetamol.[17] Ushahidi haionyeshi kwamba dawa za kukohoa si fanisi zaidi kuliko dawa rahisi za kupunguza maumivu (analgesics).[18] Madawa ya kukohoa pia haifai kwa matumizi kwa watoto kutokana na ukosefu wa ushahidi fanisi unaothibitisha na hatari kwa madhara.[19][20] Katika mwaka 2009, Kanada ilizuia matumizi ya tiba ya kukohoa ya dukani na mafua kwa watoto wenye umri wa miaka sita na ndogo kutokana na shauku kuhusu hatari na faida ambazo hazijathibitishwa.[19] Matumizi mabaya ya dextromethorphan (dawa ya kuuzwa dukani) imesababisha kupigwa marufuku katika nchi kadhaa.[21]

Kwa watu wazima, dalili za mafua inaweza kupunguzwa na antihistamines za kizazi cha kwanza. Hata hivyo, antihistamines za kizazi cha kwanza inahusishwa na athari mbaya kama vile utepetevu.[14] Decongestants zingine kama vile pseudoephedrine pia ni bora kwa watu wazima.[22] Kinyunyizio cha Ipratropium cha pua pia inaweza kupunguza dalili za mafua, lakini kuna athari kidogo kwenye fukuto.[23] Antihistamines za kizazi cha pili haionekani kuwa bora.[24]

Kutokana na ukosefu wa masomo, haijulikani kama kuongezeka kwa ulaji wa maji inaboresha dalili au kupunguza ugonjwa kupumua.[25] Ukosaji wa data kama hiyo ipo kwa matumizi ya hewa ya joto.[26] Utafiti mmoja uligundua mvuke wa kusugua kifua ni fanisi katika kutoa baadhi ya tulizo la dalili ya kukohoa usiku, foleni, na ugumu wa usingizi.[27]

Viua vijasumu na Kinza virusi

Viua vijasumu haina athari dhidi ya maambukizi ya virusi na hivyo haina athari dhidi ya homa.[28] Viua vijasumu kwa kawaida huagizwa ingawa madhara ya viua vijasumu husababisha madhara kwa ujumla.[28][29] Viua vijasumu kwa kawaida huagizwa kwa sababu watu wanatarajia watabibu kuziagiza na watabibu wanataka kusaidia watu. Maagizo ya viua vijasumu pia hutokea kwa sababu ni vigumu kutenga sababu ya maambukizi ambayo yanaweza kusimamiwa na viua vijasumu.[30] Hakuna madawa fanisi za kuzuia virusi za homa ingawa baadhi ya utafiti wa awali imeonyesha faida.[14][31]

Matibabu mbadala

Wakati kuna matibabu mengi mbadala inayotumika kwa homa, kuna upungufu wa ushahidi wa kisayansi wa kuunga mkono matumizi ya matibabu zaidi.[14] Kufikia mwaka 2010, hakuna ushahidi wa kutosha wa kupendekeza kwa au dhidi ya aidha asali au umwagiliaji kwa pua.[32][33] Virutubisho vya zinki vinaweza kupunguza ukali na muda wa dalili wakati itamezwa ndani ya masaa 24&nbsp ya mwanzo wao.[11] Athari za vitamini C kwa homa, wakati inafanyiwa utafiti sana, inakatisha tamaa.[34][35] Ushahidi kuhusu manufaa ya echinacea haiendani.[36][37] Aina tofauti ya virutubisho vya echinacea inaweza kutofautiana katika utendaji wao.[36]

Matokeo

Homa kwa kawaida ni kidogo na hupotea pekee yake na dalili nyingi kuwa bora katika wiki moja.[38] Matatizo makubwa, kama yatatokea, kwa kawaida huwa katika watu wazee sana, vijana, au wale ambao wanashida ya kinga (wana mfumo dhaifu wa kinga).[39] Maambukizi sekondari ya bakteria yanaweza kutokea na kusababisha sinusitis, pharyngitis, au maambukizi ya masikio.[40] Inakadiriwa kuwa sinusitis hutokea katika matukio ya asilimia 8. Maambukizi ya sikio hutokea katika matukio ya asilimia 30.[41]

Uwezekano

Homan ni zaidi ya ugonjwa wa kawaida wa binadamu[39] na watu wanaathirika kimataifa.[42] Watu wazima kwa kawaida huwa na maambukizi mbili hadi tano kwa mwaka.[38][43] Watoto wanaweza kuwa na homa sita hadi kumi kwa mwaka (na homa hadi kumi na mbili kwa mwaka kwa watoto wa shule).[14] Viwango vya maambukizi ya dalili huongezeka katika wazee kutokana na kudhoofika kwa mfumo wa kinga.[44]

Historia

Wakati chanzo cha homa imetambuliwa tu tangu miaka ya 1950, ugonjwa umekuwa na ubinadamu tangu nyakati za kale.[45] Dalili zake na matibabu zinaelezwa katika Ebers papyrus ya Misri, maandishi kongwe yaliyopo ya matibabu, iliyoandikwa kabla ya karne ya 16 KK.[46] Jina "homa" ilikuja katika matumizi ya karne ya 16, kutokana na kufanana kati ya dalili zake na zile zitokanazo na hali ya hewa baridi.[47]

Katika Uingereza, Kitengo cha Homa (CCU) kilianzishwa na Baraza la Utafiti wa Afya katika mwaka 1946 na ilikuwa hapa kwamba rhinovirus iligunduliwa katika mwaka 1956.[48] Katika miaka ya 1970, CCU imeonesha kwamba matibabu na interferon wakati wa awamu ya kupevuka kwa maambukizi ya rhinovirus inatoa baadhi ya kinga dhidi ya ugonjwa.[49] Hakuna tiba ya vitendo iliweza kukuzwa. Kitengo kilifungwa katika mwaka 1989, miaka miwili baada ya kukamilisha utafiti wa zinc gluconate lozenges katika kuzuia matibabu ya homa ya rhinovirus. Zinki ilikuwa tu ni matibabu fanisi iliyoundwa katika historia ya CCU.[50]

Athari za kiuchumi

British poster from World War II describing the cost of the common cold[51]

Athari za kiuchumi ya homa hazifahamiki vizuri katika mengi ya dunia.[52] Nchini Marekani, homa inaongoza kwa ziara watabibu milioni 75 hadi milioni 100 kila mwaka katika makisio ya gharama ya $ 7.7 kwa mwaka. Wamarekani wanatumia dola bilioni 2.9 kwa madawa ya dukani (OTC). Wamarekani hutumia dola za ziada milioni 400 kwa maagizo ya madawa kwa tukizo la dalili.[53] Zaidi ya theluthi moja ya watu ambao walimwona daktari walipokea maagizo ya viua vijasumu. Matumizi ya maagizo ya viua vijasumu ina madhara kwa upinzani wa antibiotiki.[53] Makadirio ya siku za shule milioni 22 hadi 189 hazihudhuriwi kila mwaka kutokana na homa. Kama matokeo, wazazi walikosa siku za kazi milioni 126 kukaa nyumbani ili kuwatunza watoto wao. Wakati ikiongezwa kwa siku za kazi milioni 150 ambazo hazikuhudhuriwa na wafanyakazi wanaosumbuliwa na homa, jumla ya athari za kiuchumi za hasara ya kazi inayohusiana na homa inazidi dola bilioni 20 kawa mwaka.[3][53] Hii inachangia asilimia 40 ya muda uliopotezwa kutoka kazini nchini Marekani.[54]

Utafiti

Idadi ya kinzavirusi zimejaribiwa kwa ufanisi katika homa. Kufikia mwaka 2009, hakuna zote zimepatikana kuwa fanisi na kutolewa idhini ya matumizi.[55] Kuna majaribio yanayoendelea ya sawa za kinza viruzi ya pleconaril. Inaonyesha ahadi dhidi ya picornaviruses. Pia kuna majaribio yanayoendelea ya BTA-798.[56] Aina ya pleconaril ya kumeza ilikuwa na masuala ya usalama na aina ya erosoli inachunguzwaa.[56]

Watafiti kutoka kwa Chuo kikuu cha Maryland, College Park na UChuo kikuu cha Wisconsin–Madison imetambua genome kwa Matatizo yote inayojulikana ya virusi vinavyosababisha homa. [57]

References

  1. Palmenberg, A. C.; Spiro, D; Kuzmickas, R; Wang, S; Djikeng, A; Rathe, JA; Fraser-Liggett, CM; Liggett, SB (2009). "Sequencing and Analyses of All Known Human Rhinovirus Genomes Reveals Structure and Evolution". Science 324 (5923): 55–9. PMID 19213880. doi:10.1126/science.1165557. 
  2. Eccles Pg.77
  3. 3.0 3.1 3.2 "Common Cold". National Institute of Allergy and Infectious Diseases. 27 November 2006. Iliwekwa mnamo 11 June 2007.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  4. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named Cold197
  5. Gwaltney JM Jr; Halstead SB.  Missing or empty |title= (help); |chapter= ignored (help) Invited letter in "Questions and answers". Journal of the American Medical Association 278 (3): 256–257. 16 July 1997. Iliwekwa mnamo 16 September 2011.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  6. Zuger, Abigail. "'You'll Catch Your Death!' An Old Wives' Tale? Well...", 4 March 2003. 
  7. Mourtzoukou, EG; Falagas, ME (2007 Sep). "Exposure to cold and respiratory tract infections.". The international journal of tuberculosis and lung disease : the official journal of the International Union against Tuberculosis and Lung Disease 11 (9): 938–43. PMID 17705968.  Check date values in: |date= (help)
  8. Eccles Pg.160–165
  9. 9.0 9.1 Jefferson, T; Del Mar, CB, Dooley, L, Ferroni, E, Al-Ansary, LA, Bawazeer, GA, van Driel, ML, Nair, S, Jones, MA, Thorning, S, Conly, JM (2011 Jul 6). "Physical interventions to interrupt or reduce the spread of respiratory viruses.". Cochrane database of systematic reviews (Online) (7): CD006207. PMID 21735402. doi:10.1002/14651858.CD006207.pub4.  Check date values in: |date= (help)
  10. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named CochP11.
  11. 11.0 11.1 Singh, M; Das, RR (2011 Feb 16). "Zinc for the common cold.". Cochrane database of systematic reviews (Online) (2): CD001364. PMID 21328251. doi:10.1002/14651858.CD001364.pub3.  Check date values in: |date= (help)
  12. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named Hemilä2010.
  13. "Common Cold: Treatments and Drugs". Mayo Clinic. Iliwekwa mnamo 9 January 2010.  Check date values in: |accessdate= (help)
  14. 14.0 14.1 14.2 14.3 14.4 Simasek M, Blandino DA (2007). "Treatment of the common cold". American Family Physician 75 (4): 515–20. PMID 17323712. 
  15. Eccles Pg.261
  16. Kim SY, Chang YJ, Cho HM, Hwang YW, Moon YS (2009). Kim, Soo Young, mhariri. "Non-steroidal anti-inflammatory drugs for the common cold". Cochrane Database Syst Rev (3): CD006362. PMID 19588387. doi:10.1002/14651858.CD006362.pub2. 
  17. Eccles R (2006). "Efficacy and safety of over-the-counter analgesics in the treatment of common cold and flu". Journal of Clinical Pharmacy and Therapeutics 31 (4): 309–319. PMID 16882099. doi:10.1111/j.1365-2710.2006.00754.x. 
  18. Smith SM, Schroeder K, Fahey T (2008). Smith, Susan M, mhariri. "Over-the-counter medications for acute cough in children and adults in ambulatory settings". Cochrane Database Syst Rev (1): CD001831. PMID 18253996. doi:10.1002/14651858.CD001831.pub3. 
  19. 19.0 19.1 Shefrin AE, Goldman RD (November 2009). "Use of over-the-counter cough and cold medications in children". Can Fam Physician 55 (11): 1081–3. PMC 2776795. PMID 19910592.  Check date values in: |date= (help)
  20. Vassilev, ZP; Kabadi, S, Villa, R (2010 Mar). "Safety and efficacy of over-the-counter cough and cold medicines for use in children.". Expert opinion on drug safety 9 (2): 233–42. PMID 20001764. doi:10.1517/14740330903496410.  Check date values in: |date= (help)
  21. Eccles Pg. 246
  22. Taverner D, Latte J (2007). Latte, G. Jenny, mhariri. "Nasal decongestants for the common cold". Cochrane Database Syst Rev (1): CD001953. PMID 17253470. doi:10.1002/14651858.CD001953.pub3. 
  23. Albalawi, ZH; Othman, SS, Alfaleh, K (2011 Jul 6). "Intranasal ipratropium bromide for the common cold.". Cochrane database of systematic reviews (Online) (7): CD008231. PMID 21735425. doi:10.1002/14651858.CD008231.pub2.  Check date values in: |date= (help)
  24. Pratter, MR (2006 Jan). "Cough and the common cold: ACCP evidence-based clinical practice guidelines.". Chest 129 (1 Suppl): 72S–74S. PMID 16428695. doi:10.1378/chest.129.1_suppl.72S.  Check date values in: |date= (help)
  25. Guppy, MP; Mickan, SM, Del Mar, CB, Thorning, S, Rack, A (2011 Feb 16). "Advising patients to increase fluid intake for treating acute respiratory infections.". Cochrane database of systematic reviews (Online) (2): CD004419. PMID 21328268. doi:10.1002/14651858.CD004419.pub3.  Check date values in: |date= (help)
  26. Singh, M; Singh, M (2011 May 11). "Heated, humidified air for the common cold.". Cochrane database of systematic reviews (Online) (5): CD001728. PMID 21563130. doi:10.1002/14651858.CD001728.pub4.  Check date values in: |date= (help)
  27. Paul IM, Beiler JS, King TS, Clapp ER, Vallati J, Berlin CM (December 2010). "Vapor rub, petrolatum, and no treatment for children with nocturnal cough and cold symptoms". Pediatrics 126 (6): 1092–9. PMID 21059712. doi:10.1542/peds.2010-1601.  Check date values in: |date= (help)
  28. 28.0 28.1 Arroll B, Kenealy T (2005). Arroll, Bruce, mhariri. "Antibiotics for the common cold and acute purulent rhinitis". Cochrane Database Syst Rev (3): CD000247. PMID 16034850. doi:10.1002/14651858.CD000247.pub2. 
  29. Eccles Pg.238
  30. Eccles Pg.234
  31. Eccles Pg.218
  32. Oduwole, O; Meremikwu, MM, Oyo-Ita, A, Udoh, EE (2010 Jan 20). "Honey for acute cough in children.". Cochrane database of systematic reviews (Online) (1): CD007094. PMID 20091616. doi:10.1002/14651858.CD007094.pub2.  Check date values in: |date= (help)
  33. Kassel, JC; King, D, Spurling, GK (2010 Mar 17). "Saline nasal irrigation for acute upper respiratory tract infections.". Cochrane database of systematic reviews (Online) (3): CD006821. PMID 20238351. doi:10.1002/14651858.CD006821.pub2.  Check date values in: |date= (help)
  34. Hemilä, Harri; Chalker, Elizabeth; Douglas, Bob; Hemilä, Harri (2007). Hemilä, Harri, mhariri. "Vitamin C for preventing and treating the common cold". Cochrane database of systematic reviews (3): CD000980. PMID 17636648. doi:10.1002/14651858.CD000980.pub3. 
  35. Heiner, Kathryn A; Hart, Ann Marie; Martin, Linda Gore; Rubio-Wallace, Sherrie (2009). "Examining the evidence for the use of vitamin C in the prophylaxis and treatment of the common cold". Journal of the American Academy of Nurse Practitioners 21 (5): 295–300. PMID 19432914. doi:10.1111/j.1745-7599.2009.00409.x. 
  36. 36.0 36.1 Linde K, Barrett B, Wölkart K, Bauer R, Melchart D (2006). Linde, Klaus, mhariri. "Echinacea for preventing and treating the common cold". Cochrane Database Syst Rev (1): CD000530. PMID 16437427. doi:10.1002/14651858.CD000530.pub2. 
  37. Sachin A Shah, Stephen Sander, C Michael White, Mike Rinaldi, Craig I Coleman (2007). "Evaluation of echinacea for the prevention and treatment of the common cold: a meta-analysis". The Lancet Infectious Diseases 7 (7): 473–480. PMID 17597571. doi:10.1016/S1473-3099(07)70160-3. 
  38. 38.0 38.1 Arroll, B (2011 Mar 16). "Common cold.". Clinical evidence 2011 (03). PMID 21406124.  Check date values in: |date= (help)
  39. 39.0 39.1 Eccles Pg. 1
  40. Eccles Pg.76
  41. Eccles Pg.90
  42. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named Text2007
  43. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named Eccles2005
  44. Eccles Pg. 78
  45. Eccles Pg. 3
  46. Eccles Pg.6
  47. "Cold". Online Etymology Dictionary. Iliwekwa mnamo 12 January 2008.  Check date values in: |accessdate= (help)
  48. Eccles Pg.20
  49. Tyrrell DA (1987). "Interferons and their clinical value". Rev. Infect. Dis. 9 (2): 243–9. PMID 2438740. doi:10.1093/clinids/9.2.243. 
  50. Al-Nakib, W; Higgins, PG; Barrow, I; Batstone, G; Tyrrell, DA (December 1987). "Prophylaxis and treatment of rhinovirus colds with zinc gluconate lozenges". J Antimicrob Chemother. 20 (6): 893–901. PMID 3440773. doi:10.1093/jac/20.6.893.  Check date values in: |date= (help)
  51. "The Cost of the Common Cold and Influenza". Imperial War Museum: Posters of Conflict. vads. 
  52. Eccles Pg.90
  53. 53.0 53.1 53.2 Fendrick AM, Monto AS, Nightengale B, Sarnes M (2003). "The economic burden of non-influenza-related viral respiratory tract infection in the United States". Arch. Intern. Med. 163 (4): 487–94. PMID 12588210. doi:10.1001/archinte.163.4.487. 
  54. Kirkpatrick GL (December 1996). "The common cold". Prim. Care 23 (4): 657–75. PMID 8890137. doi:10.1016/S0095-4543(05)70355-9.  Check date values in: |date= (help)
  55. Eccles Pg.218
  56. 56.0 56.1 Eccles Pg.226
  57. "Genetic map of cold virus a step toward cure, scientists say", Val Willingham, CNN. Retrieved on 28 April 2009. 
References