Umandejua : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Created page with '{{Redirect|Sundew}} {{Otheruses}} {{Taxobox | image = Drosera_spatulata_KansaiHabit.jpg | image_width = 250px | image_caption = ''Drosera tokaiensis'' | regnum = Plantae ...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 11:41, 27 Januari 2010

Umandejua
Drosera tokaiensis
Scientific classification
Kingdom: Plantae
(unranked): Angiosperms
(unranked): Eudicots
(unranked): Core eudicots
Order: Caryophyllales
Family: Droseraceae
Genus: Drosera
L.
Species

See separate list.

Mmea wa Umande jua, ni mojawapo ni mmea wa jenasi ya drosera ambayo ni mojawapo ya jenasi kubwa zaidi za mimea ambao hula nyama. Jenasi ya drosera ina spishi 188.[1] Mimea hii ya familia ya Droseraceae huwavutia, kuwashika na kuwaua wadudu kwa kutumia viungo vyenye kuzalisha maji amabyo ni kama gundi. Wadudu hawa hupendwa na umandejua kwa sababu mmea wenyewe unashindwa unamea katika ardhi isiyokuwa na rotuba ya kutosha. Spishi mbalimbali, ambazo huwa na maumbo tofauti hupatikana katika mabara yote isipokuwa Bara Antaktika.

Matawi ya umande jua wa kawaida (Drosera rotundifolia)

Sifa za mmea

Umande jua ni mimea inayodumu kwa miaka nyingi (lakini baadhi ya spishi hudumu kwa kipindi cha mwaka mmoja tu). Ina maua madogomadogo yaliyosimama ambayo ni karibu sentimita 1 (incha 0.4) na mita 1 (futi 10) kwa urefu ikitegemea ni spishi ipi .Spishi zinazopanda huwa na shina zinazoweza kuwa ndefu sana hata kufikia mita 3. kama vile spishi ya D. erythrogyne.[2]

Imebainika kuwa mmea wa umande jua unaweza kuishi kwa kipindi cha hata miaka 50.[3] Jinasi hii imezoea zaidi kupata chakula kupitia kula wadudu kiasi kwamba enzaimu ya haina nitrate reducatase[4]) that plants usually use for the uptake of earth-bound nitrates.




Notes

  1. McPherson, S.R. 2008. Glistening Carnivores. Redfern Natural History Productions Ltd., Poole.
  2. Mann, Phill (2001). The world's largest Drosera; Carnivorous Plant Newsletter, Vol 30, #3: pg 79.
  3. Barthlott et al., Karnivoren, p. 102
  4. Karlsson PS, Pate JS (1992). "Contrasting effects of supplementary feeding of insects or mineral nutrients on the growth and nitrogen and phosphorus economy of pygmy species of Drosera". Oecologia. 92: 8–13. doi:10.1007/BF00317256.

Sources

Much of the content of this article comes from the equivalent German-language wikipedia article (retrieved April 30, 2006).

  • Barthlott, Wilhelm; Porembski, Stefan; Seine, Rüdiger; Theisen, Inge: Karnivoren. Stuttgart, 2004, ISBN 3-8001-4144-2
  • Correa A., Mireya D.; Silva, Tania Regina Dos Santos: Drosera (Droseraceae), in: Flora Neotropica, Monograph 96, New York, 2005
  • Darwin, Charles: Insectivorous Plants, 1875
  • Lowrie, Allen: Carnivorous Plants of Australia, Vol. 1-3, English, Nedlands, Western Australia, 1987 - 1998
  • Lowrie, Allen: A taxonomic revision of Drosera section Stolonifera (Droseraceae) from south-west Western Australia, 2005, Nuytsia 15(3):355-393. (Online: http://science.calm.wa.gov.au/nuytsia/15/3/355-394.pdf)
  • Olberg, Günter: Sonnentau, Natur und Volk, Bd. 78, Heft 1/3, pp. 32-37, Frankfurt, 1948
  • Rivadavia, Fernando; Kondo, Katsuhiko; Kato, Masahiro und Hasebe, Mitsuyasu: Phylogeny of the sundews, Drosera (Droseraceae), based on chloroplast rbcL and nuclear 18S ribosomal DNA Sequences, American Journal of Botany. 2003;90:123-130. (Online: http://www.amjbot.org/cgi/content/full/90/1/123)
  • Seine, Rüdiger; Barthlott, Wilhelm: Some proposals on the infrageneric classification of Drosera L., Taxon 43, 583 - 589, 1994
  • Schlauer, Jan: A dichotomous key to the genus Drosera L. (Droseraceae), Carnivorous Plant Newsletter, Vol. 25 (1996)

External links

Simple English Wiktionary
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno: