Thaura : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Created by translating the page "Coup d'état"
(Hakuna tofauti)

Pitio la 18:34, 17 Machi 2018

Thaura, pia mapinduzi ya kijeshi, ni aina ya mapinduzi ambapo serikali hugeuzwa na jeshi au watu wanaohusiana na serikali. 

Aina

  • Thaura iliyoshindwa au jaribio la mapinduzi.
  • Thaura isiyo na mabadiliko ya utawala. Kwa mfano kiongozi akitolewa madarakani bila kubadilisha kikundi cha watawala.
  • Ubadilishaji wa dikteta aliyeko kwa mwengine.
  • Kupindua udikteta na kufuatilia na demokrasia[1]

Majibu ya kimataifa

Mashirika kama vile Umoja wa Afrika na Ushirika wa Nchi za Marekani yamepitisha mifumo ya kupambana na mapinduzi ya kijeshi. Kupitia tishio la vikwazo, mashirika hayo hujaribu kukabiliana na mapinduzi ya kijeshi. Utafiti wa mwaka 2016 umegundua kuwa Umoja wa Afrika unachukua hatua za maana katika kupunguza thaura katika Afrika.[2]

Marejeo

  1. Varol, Ozan O. (7 November 2017). "The Democratic Coup d'État". Oxford University Press.  Check date values in: |date= (help)
  2. Powell, Jonathan; Lasley, Trace; Schiel, Rebecca (7 January 2016). "Combating Coups d’état in Africa, 1950–2014". Studies in Comparative International Development (kwa Kiingereza): 1–21. ISSN 0039-3606. doi:10.1007/s12116-015-9210-6.  More than one of |ISSN= na |issn= specified (help); More than one of |DOI= na |doi= specified (help); Check date values in: |date= (help)