Zoom Video Communications

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nembo ya Zoom
Nembo ya Zoom

Zoom Video Communications ni kampuni yenye makao makuu San Jose, California inayotoa huduma ya mikutano kwa video, mikutano ya mtandaoni, na gumzo.[1]

Historia

Zoom ilianzishwa mwaka 2011 na mhandisi toka kampuni ya Cisco Systems na kitengo chake, WebEx, ambacho nacho kinatoa huduma kama hii. Mwanzilishi huyo, Eric Yuan, awali alikuwa ni makamu wa raisi wa uhandisi wa Cisco. David Berman, toka WebEx na Ring Central, walichukua urais wa kampuni hii toka Novemba 2015.[2]

Zoom ilianza kutoa huduma zake Januari 2013 na kufikia Mei 2013, ilikuwa na wateja milioni moja.[3] Ilipotoa tolea lake la kwanza, Zoom iliingia ubia na kampuni kadhaa ikiwemo Redbooth (wakati huo ikijulikana kama Teambox).[4]

Muda mfupi baadaye iliunda programu iliyoitwa "Works with Zoom",iliyopelekea Zoom kuingia ubia na kampuni za Logitech, Vaddio, and InFocus.[5][6][7] Towards the end of the year, Zoom managed to have its software integrated into InterviewStream, a company that provides remote video interviewing capacity to employers.[8] InterviewStream expanded their video interviewing capabilities using Zoom's video services.[9]

Marejeo

  1. Maldow, David S., Esq. (27 Januari 2013). "Zoom's Full Featured UME Videoconferencing Platform Exceeds Expectations". Telepresence Options. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-09-08. Iliwekwa mnamo 2019-06-26.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: multiple names: authors list (link)
  2. "Zoom Names New President David Berman and Board Member Peter Gassner". Press release. Novemba 3, 2015. Iliwekwa mnamo Machi 21, 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Pleasant, Robbie (23 Mei 2013). "Zoom Video Communications Reaches 1 Million Participants". TMCnet.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Teambox Adds High-Definition Video Conferencing, Market Looks for Deeper Collaboration". TechCrunch. 18 Juni 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Zoom Launches Program with Top Communications Tech Companies". TMCnet. 25 Julai 2013. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-06-26. Iliwekwa mnamo 2019-06-26.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. Chao, Jude (29 Julai 2013). "Zoom Beefs Up Video Conferencing Strategy with New Partners". Enterprise Networking Planet. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-06-26. Iliwekwa mnamo 11 Februari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. Zoom Video Communications Partners with Industry-Leading Technology Providers (Press release). Business Wire. 23 July 2013. http://www.businesswire.com/news/home/20130723005656/en/Zoom-Video-Communications-Partners-Industry-Leading-Technology-Providers. Retrieved 11 February 2015.
  8. InterviewStream Expands Video Interviewing Capabilities with Zoom Video Integration (Press release). PRWeb. December 19, 2013. http://www.prweb.com/releases/2013/12/prweb11436166.htm. Retrieved 11 February 2015.
  9. "InterviewStream Expands Video Interviewing Capabilities with Zoom Video Integration", PRWeb. 

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zoom Video Communications kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.