Yuzuki Yamamoto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yuzuki Yamamoto (alizaliwa 1 Septemba 2002) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Tokyo Verdy Beleza inayoshiriki ligi ya wanawake ya WE League .[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Scoresheet". weleague.jp. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yuzuki Yamamoto kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.