Vision For Youth

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Vision For Youth (kwa kifupi V4Y) ni asasi isiyo ya kiserikali yenye makao yake mkoani Arusha, [1] asasi hii hufanya kazi katika maeneo matatu makuu ambayo ni afya,elimu ya uraia,pamoja na kuwainua vijana kiuchumi [2]. V4Y hufanya kazi kwa vijana wenye umri kuanzia miaka kumi na tano hadi thelethini na tano tu.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-01-31. Iliwekwa mnamo 2021-01-24. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)
  2. https://www.ippmedia.com/sw/biashara/wafanyabiashara-wanawake-vijana-kunufaika