Tamko la kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tamko la kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake (kwa kifupi DEVAW [1]) lilipitishwa bila kupigiwa kura [2] na Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa maazimio 48/104 ya 20 Disemba 1993. Kilichomo ndani yake nipamoja na kutambua "umuhimu wa haraka wa kutekelezwa kwa haki na kanuni za wanawake kulingana na usawa,usalama,uhuru,uadilifu na utu wa watu wote".[3] Inarejea na kuhusisha haki na kanuni zile zile zilizoko Tamko la kimataifa la haki za binadamu {{refn|group=note|" Pia limegusia sheria na kanuni kwenye vyombo vya kimataifa, ikiwemo tamko la kimataifa la haki za binadamu,Mkataba wa kimataifa wa haki za kijamii na kisiasa,Mkataba wa kimataifa juu ya Uchumi,Jamii,Kitamaduni, Maazimio ya kuondoa aina zote za ubaguzi dhidi ya wanwake,Maazimio dhidi mateso na aina nyingine za ukatili,adhabu zinazokinzana na utu" (aya ya 2 ya kwenye utangulizi wa Tamko la Kutokomeza Ukatili Dhidi ya wanawake). na ibara ya 1 na 2 inatoa maana halisi ya Ukatili dhidi ya wanawake.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Manjoo, Rashida; Jones, Jackie (2018). The Legal Protection of Women From Violence: Normative Gaps in International Law. Abingdon: Routledge. uk. 13. ISBN 9781351732833. Iliwekwa mnamo 14 Machi 2020.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "RESOLUTIONS: General Assembly, 48th session". un.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Januari 16, 2014. Iliwekwa mnamo Mei 14, 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "A/RES/48/104 – Declaration on the Elimination of Violence against Women – UN Documents: Gathering a body of global agreements". un-documents.net. Iliwekwa mnamo Februari 24, 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tamko la kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.