Sinforiani wa Autun

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Daniel Hallé, Kifodini cha Mt. Sinforiani (1671), kanisa kuu la Saint-Pierre de Saint-Flour.
Jean-Auguste-Dominique Ingres, Kifodini cha Mt. Sinforiani (1834), kanisa kuu la Saint-Lazare d'Autun.

Sinforiani wa Autun (alifariki 178 hivi) alikuwa Mkristo wa mji huo, leo nchini Ufaransa aliyeuawa kwa ajili ya imani yake.

Wakati wa kwenda kuuawa, mama yake alimlilia kutoka ukutani mwa ngome ya mji, "Mwanangu, mwanangu, Sinforiani, umkumbuke Mungu aliye hai. Leo uhai wako hauondolewi bali unaboreshwa tu"[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Agosti[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.