Sharon Nadunga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Sharon nadunga
Nchi Uganda
Majina mengine sharon Naddunga
Kazi yake mchezaji wa soka




Sharon Nadunga (alizaliwa 2001 or 2002), pia inatamkwa kama Sharon Naddunga,[1] ni mchezaji wa soka wa nchini Uganda ambaye anacheza kama kiungo mshambuliaji (fowadi) katika klabu ya Kawempe Muslim Ladies FC na timu ya Taifa ya kandanda ya wanawake ya Uganda.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Crested Cranes Final Squad To Feature At COSAFA Women's Championship Named". Federation of Uganda Football Associations. 27 Septemba 2021. Iliwekwa mnamo 21 Februari 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sharon Nadunga kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.