San Giovanni Rotondo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
San Giovanni Rotondo,Puglia

San Giovanni Rotondo ni mji wa mkoa wa Puglia, Italia Kusini wenye wakazi 27,355 (sensa ya mwaka 2011).

Mji huo ulipata maarufu kama makazi ya kudumu ya padri Pio wa Pietrelcina hadi kifo chake. Kwa sababu hiyo unatembelewa na mamilioni ya watu kila mwaka, hasa waumini wa Kanisa Katoliki wanaomheshimu kama mtakatifu.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu San Giovanni Rotondo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.