Rufo na Zosimo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rufo na Zosimo (waliuawa 107 hivi) walikuwa Wakristo waliofia dini yao kama walivyoandika kwanza Polikarpo[1], halafu Eusebi wa Kaisarea[2][3] [4].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadimishwa tarehe 17 Oktoba[5].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Jacques-Paul Migne, Patrologia Graeca, vol. V (1894), coll. 1011-1014.
  2. Joseph-Marie Sauget, BSS, vol. XI (1968), coll. 489-491.
  3. Catholic Online
  4. http://www.santiebeati.it/dettaglio/82150
  5. Martyrologium Romanum

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Filippo Caraffa e Giuseppe Morelli (curr.), Bibliotheca Sanctorum (BSS), 12 voll., Istituto Giovanni XXIII nella Pontificia Università Lateranense, Roma 1961-1969.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.