Robyn Nesbitt

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Robyn Nesbitt (alizaliwa 1984) ni msanii wa Afrika Kusini anaeishi na kufanya kazi katika jiji la Johannesburg.[1] Kazi za Nesbitt zinatokana na uchunguzi wake mzuri wa hafla za kila siku zinazotokana na mzunguko wa maisha ya kila siku yanayotuzunguka [2] Robyn hufanya kazi za sanaa akishirikiana kwa karibu na Nina Barnett.[3]

Elimu[hariri | hariri chanzo]

Nesbitt ni muhitimu katika chuo kikuu cha Witwatersrand University,kilichopo Johannesburg.[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Art Map South Africa". Artmap.co.za. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-01-03. Iliwekwa mnamo 17 Januari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Newmedia AG. "PRO HELVETIA - JOHANNESBURG: Coexistent Residency". Prohelvetia.org.za. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-04. Iliwekwa mnamo 17 Januari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Robyn Nesbitt and Nina Barnett - Bronwen Shelwell@ASSEMBLY". Assembly.withtank.com. Iliwekwa mnamo 17 Januari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Ian Wallace. "The World's Most Influential MFA Programs, Part 2". Artspace. Iliwekwa mnamo 17 Januari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robyn Nesbitt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.