Rema Namakula

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rehema Namakula
Amezaliwa 24 Aprili 1991
Lubaga
Nchi Uganda
Majina mengine Rema
Kazi yake Msanii


Rehema Namakula (anajulikana zaidi kama Rema; alizaliwa 24 Aprili 1991) ni msanii wa Uganda.[1]

Elimu[hariri | hariri chanzo]

Rema alizaliwa katika hospitali ya Lubaga, tarehe 24 Aprili 1991, kwa marehemu Hamida Nabbosa na marehemu Mukiibi Ssemakula.[2] Yeye ndiye mzaliwa wa mwisho katika familia yake. Alisoma Shule ya Msingi Kitante. Alisoma pia Shule ya Sekondari ya Saint Balikudembe kwa masomo yote ya O-Level na A-Level. Baadaye, alijiunga Chuo Kikuu cha Kyambogo ambayo hakuwahi kumaliza na anasema ana mpango wa kufanya hivyo baadaye.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Sean Musa Carter (12 Julai 2016). "Facts you Didn't Know About Rema Namakula". Kampala: Ugblizz.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-10-07. Iliwekwa mnamo 6 Oktoba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Mites, Isaac (21 Machi 2015). "Rema Namakula Shares Her Biography". Kampala: Bigeye.ug (Big Eye Uganda). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-26. Iliwekwa mnamo 6 Oktoba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rema Namakula kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.