Prudensi wa Tarazona

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu ya Mt. Prudensi.

Prudensi wa Tarazona (aliishi karne ya 5/karne ya 6 hivi) alikuwa askofu wa jimbo la Tarazona, Hispania.

Kabla ya hapo aliishi miaka saba upwekeni, halafu aliinjilisha eneo la Calahorra[1].

Heshima ya watu kwake kama mtakatifu ni ya zamani sana.

Sikukuu yake huadhimishwa kila mwaka tarehe 28 Aprili[2][3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/51130
  2. Martyrologium Romanum
  3. "San Prudencio". Basque Countru Tourism. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-01-11. Iliwekwa mnamo 13 Machi 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.