Programu ya mfumo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Programu ya mfumo inayoitwa Debian.

Katika utarakilishi, programu ya mfumo (kwa Kiingereza : "system software") ni programu inayotoa jukwaa ili programu nyingine ifanye kazi.

Kwa mfano, Ubuntu, Windows, Mac OS au Linux ni programu ya mfumo.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.