Prinsipi wa Soissons

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Prinsipi wa Soissons (alifariki Soissons, leo nchini Ufaransa, 25 Septemba 505) alikuwa askofu wa mji huo, labda kuanzia mwaka 474.

Alikuwa mtoto wa Silinia, baba (mzazi?) wa Lupus wa Soissons na ndugu wa askofu Remi aliyechangia wongofu na ubatizo wa mfalme wa Wafaranki Klovis I.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Septemba[1][2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Vies des Saints par Mgr Guérin (obtenu lui-même par la notice due à M. Henri Congnet, chanoine de Soissons) 1870
  • Le Gallia Christiana par Léon-Paul Piolin
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.