Nenda kwa yaliyomo

Phillemon Mikol Sarungi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Phillemon Mikol Sarungi (amezaliwa tar. 23 Machi 1936) ni mbunge wa jimbo la Rorya katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu Phillemon Mikol Sarungi". 17 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-27. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.