Otto wa Bamberg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Otto katika mchoro wa ukutani.

Otto wa Bamberg (1060/106130 Juni 1139) alikuwa chansela wa Dola Takatifu la Roma[1] , halafu askofu wa Bamberg nchini Ujerumani aliyeinjilisha kwa bidii Pomerania[2] alipoongoa Wapagani 20,000 na miji saba bila kutumia silaha kama ilivyofanywa awali[3].

Kwa maadili yake bora[4], tangu kale alitambuliwa kuwa mtakatifu akatangazwa hivyo na Papa Klementi III (1189).

Sikukuu yake ni 30 Juni[5].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Löffler, Klemens. "St. Otto." The Catholic Encyclopedia. Vol. 11. New York: Robert Appleton Company, 1911. 28 Mar. 2013
  2. ""St. Otto, Bishop". Catholic News Agency". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-11-07. Iliwekwa mnamo 2021-06-22.
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/60350
  4. "St. Michael's Monastery, Bamberg". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-09-25. Iliwekwa mnamo 2021-06-22.
  5. Martyrologium Romanum

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.