Osinachi Ohale

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Osinachi Marvis Ohale (alizaliwa 21 Desemba 1991) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Nigeria ambae anacheza kama beki wa klabu ya Alavés katika ligi ya Primera División nchini Hispania na timu ya taifa ya Wanawake ya Nigeria.[1][2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "List of Players – 2015 FIFA Women's World Cup", Fédération Internationale de Football Association. Retrieved on 2022-05-16. Archived from the original on 2016-04-10. 
  2. "Osinachi Ohale's route to United States, Houston Dash is an answer to prayers". Houston Dash. Houston Dash Website. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-09-24. Iliwekwa mnamo 9 Oktoba 2014. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Exclusive: Agent Tips Osinachi Ohale To Be An Instant Hit at Houston Dash". AllNigeriaSoccer.com. All Nigeria soccer Website. Iliwekwa mnamo 9 Oktoba 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Osinachi Ohale kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.