Olympique Batna

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Olympique Batna ni klabu ya mpira wa kikapu katika mji wa Batna nchini Algeria. Ilianzishwa mnamo mwaka 1972 pia ilishiriki katika michuano ya kitaifa ya mpira wa kikapu ya Algeria.[1][2]

Historia[hariri | hariri chanzo]

Mnamo mwaka 1972 timu ilianzishwa na Brahim Yezza, Khomri Miloud na Kaouli Chérif.

Wachezaji[hariri | hariri chanzo]

Mamadou Faye[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. [https://www.lesoirdalgerie.com/articles/2007/08/20/print-5-57587.php "Le Soir d'Alg�rie"]. www.lesoirdalgerie.com. Iliwekwa mnamo 2022-08-24. {{cite web}}: replacement character in |title= at position 14 (help)
  2. Eurobasket. "Olympi Batna basketball, News, Roster, Rumors, Stats, Awards, Transactions, Details-afrobasket". Eurobasket LLC. Iliwekwa mnamo 2022-08-24.
  3. Basket221 (2020-10-06). "Mamadou Faye dans les rangs de l'AS Douane !". Basket 221 (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2022-08-24.{{cite web}}: CS1 maint: numeric names: authors list (link)