Ninian Mtakatifu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Ninian kama mbombezi ("Ora pro nobis, Sancte Niniane").

Ninian (pia: Ringan au Trynnian; 360-432) alikuwa askofu kutoka Britania ya Kusini (leo Uingereza) aliyefanya umisionari kati ya Wapikti wa Uskoti wa leo kuwaleta kwenye kweli za imani ya Kikristo akafanya Withorn makao makuu ya jimbo [1][2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Septemba[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Todd, James Henthorn (1863), "The Epistle on Coroticus", St. Patrick, Apostle of Ireland, Dublin: Hodges, Smith, & Co. (ilichapishwa mnamo 1864), uk. 384
  2. https://www.santiebeati.it/dettaglio/92990
  3. Martyrologium Romanum

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo ya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.