Nevşehir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Nevşehir
Nchi Uturuki
Mkoa Anatolia ya Kati
Jimbo Nevşehir
Idadi ya wakazi (2000)
 - Wakazi kwa ujumla 105,078
Tovuti:  www.nevsehir.gov.tr
Nevşehir

Nevşehir (zamani waliuita Muşkara au Nyssa) ni mji mkuu wa Jimbo la Nevşehir nchini Uturuki. Mji huu upo katika Mkoa wa Anatolia ya Kati katika Uturuki. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji una wakazi takriban 105,078 ambao wengine 67,864 wanaishi katikati ya mji wa Nevşehir.[1][2] Mji unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 535,[3] na mji uko m 1224 juu ya usawa wa bahari.

Maelezo[hariri | hariri chanzo]

  1. Turkish Statistical Institute. "Census 2000, Key statistics for urban areas of Turkey" (kwa Turkish). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (XLS) mnamo 2007-07-22. Iliwekwa mnamo 2008-04-12.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
  2. GeoHive. "Statistical information on Turkey's administrative units" (kwa English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-18. Iliwekwa mnamo 2008-04-12.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
  3. Statoids. "Statistical information on districts of Turkey" (kwa English). Iliwekwa mnamo 2008-04-12.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nevşehir kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.