Mustafa Mkulo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkulo.

Mustafa Haidi Mkulo (26 Septemba 1946 - 3 Mei 2024) alikuwa mbunge wa jimbo la Kilosa katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania akitokea katika chama cha CCM.[1] Aliwahi kuwa waziri wa fedha.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu Mustafa Haidi Mkulo". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-17. Iliwekwa mnamo 2011-11-04. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help)