Nenda kwa yaliyomo

Musa Rashid Ntimizi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Musa Rashid Ntimizi ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Igalula kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017