Mugumoini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mugumoini ni mtaa fukara wa Nairobi, mji mkuu wa Kenya, eneo bunge la Lang'ata[1]. Wakazi wengi ni Waluhya. [2].

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2021-06-18.
  2. http://mapkibera.org/wiki/index.php?title=Mapping_Thematics/Boundaries