Mto Lumi (Zambia)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Lumi (pia: Kawimbe) ni mmojawapo kati ya mito ya Zambia, tawimto la mto Saisi ambao tena ni tawimto la mto Momba unaotiririka upande wa kusini magharibi na kuishia katika ziwa Rukwa.[1][2]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Hughes, R. H.; Hughes, J. S. (1992). A Directory of African wetlands. IUCN. uk. 251. ISBN 978-2-88032-949-5. Iliwekwa mnamo 31 Machi 2012.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Royal Geographical Society (Great Britain) (1880). Proceedings of the Royal Geographical Society and monthly record of geography. Edward Stanford. uk. 763. Iliwekwa mnamo 31 Machi 2012.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Zambia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Lumi (Zambia) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.