Mlima Gessi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlima Gessi katika Safu ya Milima ya Ruwenzori

Mlima Gessi uko katika safu ya milima ya Ruwenzori, kwenye mpaka wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Uganda (Afrika).

Mlima huo ulipata jina lake kutoka kwa Mwitalia Romolo Gessi (1831 - 1881) aliyekuwa mtafiti wa chanzo cha mto Nile.[1][2]

Kilele cha juu cha Mlima Gessi ni Lolanda (mita 4,715 juu ya usawa wa bahari), halafu Bottego (mita 4699).[2]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Climbing Mount Gessi". Rwenzori Mountains (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-06-02. Iliwekwa mnamo 2019-06-02.
  2. 2.0 2.1 "Mount Gessi | Rwenzori Mountaineering Service" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2019-06-02.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Merriam-Webster's Geographical Dictionary, Third Edition. Springfield, Massachusetts: Merriam-Webster, Incorporat]]ed, 1997. ISBN 0-87779-546-0.