Mkoa wa Niari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mkoa wa Niari (pia Niadi [1]) ni mkoa (departement) wa Jamhuri ya Kongo katika sehemu ya magharibi ya nchi.

Unapakana na mikoa za Bouenza, Kouilou, na Lekoumou. Kuna pia mipaka ya kimataifa na Gabon, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, na mkoa wa Kabinda wa Angola.

Makao makuu yako mjini Dolisie.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. M., A. (1885). "Proceedings of the Royal Geographical Society (de Londres)". Le Globe. Revue genevoise de géographie (kwa Kifaransa). ku. 57–60. Iliwekwa mnamo 5 Januari 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Niari kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.