Medikal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Samuel Adu Frimpong (alizaliwa 4 Aprili, 1994), maarufu kama Medikal, ni mwanamuziki wa hip hop wa nchini Ghana alizaliwa na Portia Lamptey na James Frimpong huko Sowutuom, katika kitongoji cha Accra . [1]

Maisha ya awali na kazi ya muziki[hariri | hariri chanzo]

Anatoka Sowutuom, kitongoji cha Accra, Ghana . Medikal na Sarkodie walikuwa katika uteuzi wa juu zaidi wa toleo la 2017 la tuzo za muziki za Ghana (Ghana Music Awards) . Mnamo 2018. [2] [3] Medikal alipata na elimu ya Shule ya upili katika shule ya Odorgonno Senior High . Yeye ni mtoto wa James Frimpong na Portia Lamptey. Samuel alichukua jina la Medikal kwa sababu alivutiwa na kurap kuhusu madaktari wa upasuaji, madaktari na hospitali kwa ujumla. Amejijengea jina katika tasnia ya muziki kwa bidii na ushirikiano mwingi na wasanii waliofanikiwa. Kando na uteuzi wake mwaka 2017, alishinda video bora ya uvumbuzi katika tuzo ya MTN 4Syte mnamo 2016.

Albamu na EP[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. name="Medikal">"Medikal". www.ghanaweb.com. Iliwekwa mnamo 2020-11-23.
  2. "SEE FULL LIST OF NOMINEES – 2017 Vodafone Ghana Music Awards". 27 Februari 2017. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-04-24. Iliwekwa mnamo 2022-04-24.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "The rise of AMG's Medikal". 12 Novemba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. 4.0 4.1 "[MIXTAPE]: Medikal (MDK) Presents "Da Medikation"". Loud Sound Gh. Iliwekwa mnamo 17 Februari 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Medikal unveils tracklist for 'Disturbation'". 22 Juni 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. "Medikal Biography / Profile - Beatz Nation". 19 Julai 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Medikal kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.