Maureen Koech

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Maureen Koech

Maureen Koech (alizaliwa 21 Mei 1989) ni mwigizaji, mwandishi wa nyimbo na mwimbaji wa Kenya. Anatambulika ndani ya Kenya pamoja na kazi zake KTN, Lies that Bind.[1]

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Maureen Koech alikulia Nairobi, alienda shule ya upili iitwayo Nakuru kwa ajili ya elimu yake ya sekondari. Badaaye alijiunga Strathmore University kati ya mwaka 2009 na 2013, ndipo alipoandikishwa kusomea “Business Information and Technology’’ (BBIT) na baadaye aliweka ubia katika uugizaji.[2]

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Maureen alianza kazi yake ya ugizaji akiwa anaigiza jukwaani katika Muungano wa Francasie. Akiwa na hofu juu ya idadi kubwa ya waigizaji, kulikuwa na Televisheni ya Kenya ambayo ilikuwa ikionyesha mwendelezo wa zawadi za washindi bora mwaka 2012 Kalasha filamuTV . the.[3] Baada ya kujiunga na chuo kikuu cha Strathmore mnamo mwaka 2009, alijiunga katika shule ya sanaa ya uigizaji Strathmore ambapo alishiriki katika shughuli za uigizaji.[4] [5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Lebogang Tsele. "Maureen Koech's biography". Africa Magic. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Machi 2, 2016. Iliwekwa mnamo Septemba 29, 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Binding passion". Standard Media (SDE). Julai 25, 2012. Iliwekwa mnamo Oktoba 2, 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Maureen Koech's bio". Stage 32. Iliwekwa mnamo Oktoba 2, 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "DRAMSCO". DRAMSCO Youtube. Iliwekwa mnamo Oktoba 2, 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Maureen Koech feeling like she's the best". Zuqka Nation. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Oktoba 4, 2015. Iliwekwa mnamo Oktoba 1, 2015. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maureen Koech kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.