Mary Nagu
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/4/4d/Mary_Nagu.jpg/220px-Mary_Nagu.jpg)
Mary Nagu (amezaliwa tarehe 11 Mei 1952) ni mbunge wa jimbo la Hanang katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ "Mengi kuhusu Mary Nagu". 3 Juni 2008. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-26. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
![]() |
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |