Maria Yosefa wa Moyo wa Yesu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha yake halisi ya mwaka 1910 hivi.

Maria Yosefa wa Moyo wa Yesu (jina la awali kwa Kihispaniaː María Josefa Sancho de Guerra; Vitoria, Hispania, 7 Septemba 1842 - Bilbao, Hispania, 20 Machi 1912) alikuwa sista mwanzilishi wa shirika la Watumishi wa Yesu wa Upendo ambalo ndani ya Kanisa Katoliki linahudumia wagonjwa na wenye shida nyingine[1][2].

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 27 Septemba 1992 na mtakatifu tarehe 1 Oktoba 2000[3].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Saint Maria of the Heart of Jesus (Sancho de Guerra)". Santi e Beati. Iliwekwa mnamo 4 Julai 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "MARIA JOSEFA OF THE HEART OF JESUS SANCHO DE GUERRA (1842-1912)". Holy See. Iliwekwa mnamo 4 Julai 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Saint Maria Josefa Sancho de Guerra". Saints SQPN. 19 Machi 2013. Iliwekwa mnamo 3 Julai 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.