Mapishi ya Zambia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nshima and beef relish from Proteas Hotel, Chingola, Zambia.
Nshima na kitoweo cha nyama ya ng'ombe kutoka Proteas Hotel, Chingola, Zambia.

Mapishi ya Zambia, hasa ni nshima, [1] ambacho ni chakula kilichotayarishwa kutokana na mahindi meupe yaliyopondwa. Nshima ndio mlo wa nchini Zambia.

Mbali na nshima, vyakula vya Zambia vinajumuisha aina mbalimbali za vitoweo, mboga zilizopikwa kwa aina tofauti za bia. Samaki waliokaushwa na wadudu pia huliwa. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 Kapambwe, Mazuba. "9 Traditional Foods You Must Eat While You're in Zambia. Nshima which is also prounnced as nsima is sourced from white maize, millet, sorghum, and cassava. It's usually eaten as the main meal by most Zambians". Culture Trip. Iliwekwa mnamo 2020-05-24.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mapishi ya Zambia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.