Majadiliano:Histori ya Tanganyika

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ngoja kwanza: I'm afraid the translation of the article is seeds of the Google-Translator Toolkit. It's not allowed here. We don't want some gibberish translations. Wakubwa, kuna mwenye muda wa kuboresha makala hii? Japo kuandika kwa njia ya mbegu?--MwanaharakatiLonga 10:04, 16 Januari 2012 (UTC) [jibu]


Makala inakosa umbo linalotakiwa na habari zake nyingi ziko tayari katika makala za Tanganyika na Afrika ya Mshariki ya Kijerumani pamoja na nyingine. Kwa hiyo naona afadhali kuibadilisha kuwa redirect kwa Tanganyika. Kipala (majadiliano) 11:40, 16 Januari 2012 (UTC)[jibu]
Naunga mkono! Elekeza tu!!!!--MwanaharakatiLonga 13:49, 16 Januari 2012 (UTC)[jibu]