Lilian Cole

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lilian Cole
Nchi Nigeria
Kazi yake Mchezaji wa mpira wa miguu

Lilian Cole (alizaliwa 1 Agosti 1985) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Nigeria ambaye alicheza kama beki akiwa na timu ya taifa ya Nigeria na katika michezo ya Olimpiki ya 2008. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Women's Olympic Football Tournament Beijing – Nigeria Squad List". FIFA. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-05. Iliwekwa mnamo 22 Oktoba 2012. {{cite web}}: More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lilian Cole kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.