Nenda kwa yaliyomo

Lilian Awuor

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lilian Onyango Awuor[1] (alizaliwa 13 Juni 1999) ni mtaalamu kama kiungo wa mpira ambae alichezea kiwango cha 1 cha Féminine upande wa ASJ Soyaux Charente kwa sasa anachezea Vihinga Queens FC na Harambee Starlets, timu ya taifa ya wanawake wa Kenya.[2][3]

Kazi kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Aliwakilisha Kenya katika kombe la Wanawake wa mataifa ya Afrika na alikuwa [[goli kipa msaidizi kwa Samantha Akinyi. Alifanya majukumu yake ya timu mwaka 2022 katika kombe la taifa na kushinda dhidi ya Sudan kusini.[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Lilian Awuor Profile and Statistics". Global Sports Archive. Iliwekwa mnamo 10 Novemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: url-status (link)
  2. "SQUAD LISTS ANNOUNCED". KBC Channel 1. 28 Februari 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Kenya - L. Awuor - Profile with news, career statistics and history". Soccerway. Iliwekwa mnamo 2021-11-10.{{cite web}}: CS1 maint: url-status (link)
  4. "Awuor targets improvement after Starlets debut". The Star (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-11-10.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Lilian Awuor kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.