Ligi Kuu ya Misri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ligi Kuu ya Misri ni ligi kuu ya soka nchini Misri. Ni mashindano makubwa ya soka yanayowashirikisha vilabu vya soka vya Misri.

Ligi hii inajumuisha timu za juu zaidi nchini Misri na hufanya mashindano ya kila mwaka ambapo timu hushindana kwa mataji na ushindi wa ubingwa wa ligi. Ligi Kuu ya Misri ina umaarufu mkubwa na inachukuliwa kuwa moja ya ligi kuu zaidi katika soka la Kiafrika[1][2].

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Mohamed El-Sayed (2004). "When life began". Ahram Weekly. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 21 Oktoba 2012. Iliwekwa mnamo 28 Mei 2021. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Tarek Said (2019). "Egypt 1921/22". RSSSF. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 9 Februari 2023. Iliwekwa mnamo 28 Mei 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Ligi Kuu ya Misri kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.