Lidano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lidano, O.S.B. (Antinum, 1026 - Monte Cassino, 1118[1]) alikuwa abati Mbenedikto anayesifiwa kwa kukausha madimbwi ya Lazio kusini, Italia, na kwa kuanzisha[2] monasteri ya Sezze katika Dola la Papa[3].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Julai[4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Saint Lidanus". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-07-07. Iliwekwa mnamo 2017-10-24.
  2. "St. Lidanus". Catholic.org. Iliwekwa mnamo 6 Julai 2009.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. https://www.santiebeati.it/dettaglio/91327
  4. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.