Laurent Agouazi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Laurent Karim Agouazi (alizaliwa Langres, Ufaransa 16 Machi 1984) ni mwanasoka wa kulipwa kutoka Ufaransa na Algeria ambaye anacheza kama kiungo wa timu ya akiba ya Metz. Hadi Kufikia Juni 2016 alishinda mechi mbili za timu ya taifa ya kandanda ya Algeria.[1]

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Agouazi alianza uchezaji wake na klabu FC Metz na alikuwa mchezaji wa mkopo katika timu ya Championnat National Besançon RC kwa msimu wa 2004-05.

Kazi Yake Kitaifa[hariri | hariri chanzo]

Agouazi alizaliwa na baba kutoka Algeria na mama kutokea Ufaransa. Agouazi alistahili kuwakilisha Algeria na Ufaransa.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Metz : Laurent Agouazi vers Boulogne". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-06-21. Iliwekwa mnamo 2023-06-10.
  2. Lamrek, Ramzi (21 Machi 2010). "Laurent Karim Agouazi : Respecter ceux qui ont joué la qualification" (kwa French). DZfoot. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 Septemba 2012. Iliwekwa mnamo 21 Mei 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Laurent Agouazi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.