Kongo (Brazzaville)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kinshasa na Brazzaville

Kongo (Brazzaville) ni kifupi cha kutaja nchi ya Jamhuri ya Kongo yenye mji mkuu wa Brazzaville. Jina limeundwa kwa nia ya kuwa na jina fupi tena la kutofautisha na Kongo nyingine yaani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo au Kongo (Kinshasa).