Kate Henshaw

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

'

Kate Henshaw
Kate Henshaw
Amezaliwa19 Julai 1971
Kazi yakeMwigizaji


Kate Henshaw (alizaliwa 19 Julai 1971)[1][2][3] ni mwigizaji wa Nigeria.

Mwaka 2008 alishinda Tuzo ya Africa Movie Academy kwa Mwigizaji Bora wa Kike kwenye Jukumu Kuu kwa uigizaji wake katika filamu ya Stronger than Pain. [4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Ige, Victoria. "Kate Henshaw is 40!", Nigerian Entertainment Today, 6 July 2011. 
  2. "Profile of Henshaw-Nuttall at her Website". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-07-24. Iliwekwa mnamo 2024-04-23. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)
  3. Live, PM News. "2012: A Dramatic Year For Nigerian Artistes", P.M. News. 
  4. Ochuko, Rukevwe. "Kate Henshaw Wins Best Actress in a Supporting Role at South Africa Rapid Lion Award". The Guardian.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kate Henshaw kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.