Karan Singh Grover

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Karan Singh Grover

Amezaliwa 23 Februari 1982 (1982-02-23) (umri 42)
New Delhi, India
Kazi yake Bizari Mill Gayye
mkubali
Kasautii Zindagii Kay 2
Miaka ya kazi 2004-sasa
Ndoa
  • Shraddha Nigam (m. 2008–2009) «start: (2008)–end+1: (2010)»"Marriage: Shraddha Nigam to Karan Singh Grover" Location: (linkback://sw.wikipedia.org/wiki/Karan_Singh_Grover)
  • Jennifer Winget (m. 2012–2014) «start: (2012)–end+1: (2015)»"Marriage: Jennifer Winget to Karan Singh Grover" Location: (linkback://sw.wikipedia.org/wiki/Karan_Singh_Grover)
  • Bipasha Basu (m. 2016–present) «start: (2016)»"Marriage: Bipasha Basu to Karan Singh Grover" Location: (linkback://sw.wikipedia.org/wiki/Karan_Singh_Grover)
Grover na mkewe Bipasha Basu siku ya arusi yao.

Karan Singh Grover (amezaliwa New Delhi, India, 23 Februari 1982) ni mwigizaji wa India.[1]

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Grover alizaliwa katika familia ya Singasinga.[2] Ana mdogo wake wa kiume.[3]

Wakati Grover alipokuwa bado mchanga familia yake ilihamia Al Khobar, Saudi Arabia. Alisomea huko Dammam, Saudi Arabia, kisha akafanya digrii katika Usimamizi wa Hoteli kutoka IHM Mumbai. Kisha alifanya kazi kama Mtendaji wa Masoko katika Hoteli ya Sheraton huko Oman.[4]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "First of Many: Karan Singh Grover revisits Kitni Mast Hai Zindagi".
  2. "Karan Singh Grover: Everything boils down to who the audience wants to watch".
  3. "Do you know Karan Singh Grover has a hot brother called Ishmeet Singh Grover? - daily.bhaskar.com". daily.bhaskar.com. 17 Mei 2014. Iliwekwa mnamo 29 Desemba 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Gauahar Khan to Karan Singh Grover; TV celebs who were slapped in public".
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Karan Singh Grover kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.