Kajjansi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mabwawa katika Kituo cha Utafiti na Maendeleo ya Ufugaji samaki, Kajjansi

Kajjansi ni mji uliopo Uganda ya kati ambao ni moja ya vituo vya mijini katika wilaya ya Wakiso.

Mahali ilipo[hariri | hariri chanzo]

Ramani ya eneo la Kajjansi Uganda
majira nukta (0 ° 12'54.0 "N, 32 ° 33'00.0" E (Latitude: 0.2150; Longitude: 32.5500))

Eneo hilo lipo kwenye barabara yenye hali ya hewa ya joto kati ya Kampala na barabara ya Entebbe. Kajjansi ipo takriban kilomita 16 sawa na maili 9.9 kwa barabara umbali kutokea kusini mwa Kampala ambao ndio mji mkuu wa Uganda na jiji kubwa zaidi nchini Uganda.[1] pia ni takriban kilomita 25 sawa na maili 16 kwa barabara umbali kutokea kaskazini mwa uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Uganda Entebbe, ambao ni uwanja wa ndege mkubwa unaotumiwa na raia pamoja na jeshi la Uganda.[2] ikiwa inapatikana kwa majira nukta (0 ° 12'54.0 "N, 32 ° 33'00.0" E (Latitude: 0.2150; Longitude: 32.5500)).[3]

Idadi ya watu[hariri | hariri chanzo]

Mnamo 2006, idadi ya watu wa Kajjansi ilikadiriwa kuwa karibu 7,530.[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Road Distance Between Kampala And Kajjansi With Map". Globefeed.com. Iliwekwa mnamo 17 Aprili 2004.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Road Distance Between Entebbe Airport and Kajjansi with Map". Globefeed.com. Iliwekwa mnamo 17 Aprili 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Kigezo:Google maps
  4. "Estimated Population of Kajjansi In 2006". Mongabay.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-04-19. Iliwekwa mnamo 17 Aprili 2014. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)