Jimbo Katoliki la Mbulu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kanisa la Mbulu.

Jimbo Katoliki la Mbulu (kwa Kilatini "Dioecesis Mbuluensis") ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.

Kikanisa linahusiana na jimbo kuu la Arusha.

Askofu wake ni Anthony Lagwen.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Uongozi[hariri | hariri chanzo]

Takwimu[hariri | hariri chanzo]

Eneo ni la kilometa mraba 16,057, ambapo kati ya wakazi 1,250,417 (2016) Wakatoliki ni 339,619 (27.2%).

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Mbulu kama historia yake au maelezo zaidi?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.