Nenda kwa yaliyomo

Jebiniana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jebiniana (pia huitwa Djebeliana) ni mji katika wilaya ya Sfax huko Tunisia.[1][2]

Mji huu upo kilomita 35 kaskazini kwa Sfax kwenye fukwe za Bahari ya Mediteranea karibu na El Amra.[3][4]

Mji huo hupatikana katika latitudo: 35.033333Kas, Longitudo: 10.916667Mas.[5]

Mwaka 2014, palikuwa na idadi ya wakazi 7,190.[6]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Djebeniana Map, Weather and Photos - Tunisia: populated place - Lat:35.0333 and Long:10.9167". www.getamap.net. Iliwekwa mnamo 2020-06-02.
  2. Jabinyānah at geoview.info.
  3. Djebeliana Archived 30 Julai 2021 at the Wayback Machine. at citymap.com.
  4. Jebiniana at map mondo.org.
  5. "Djebeniana Map, Weather and Photos - Tunisia: populated place - Lat:35.0333 and Long:10.9167". www.getamap.net. Iliwekwa mnamo 2020-06-02.
  6. "Jebiniana (Sfax, All Communes, Tunisia) - Population Statistics, Charts, Map, Location, Weather and Web Information". www.citypopulation.de. Iliwekwa mnamo 2020-06-02.
Makala hii kuhusu maeneo ya Tunisia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jebiniana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.